Breaking News

NAIBU WAZIRI DKT. NDUMBARO AZINDUA UVCCM JOGGING CLUB WILAYANI SONGEA


Naibu Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika mashariki, Kikanda, na Kimataifa ambaye ni Mbunge wa Songea Mjini Mhe. Dkt Damas Ndumbaro. 

Dkt. Ndumbaro amezindua Jogging Club hiyo na amekubali kuwa Mlezi wa Club hiyo kwani naye ni mpenda michezo. 

"Vijana wa UVCCM na wana Songea kwa ujumla tujitokezeni kwa wingi kujiunga na Klabu yetu hii ya mazoezi kwani ni muhimu kwa Afya zetu na mazoezi yanatusaidia kuwa na uchangamfu wa Kiakili" amesema Dkr. Damas Ndumbaro. 
Wana Jogging Club ya UVCCM wakiwa kwenye uwanja wa Majimaji Songea Mjini
Naibu Waziri Dkt. Damas Ndumbaro akiwaongoza wana UVCCM Jogging Club kufanya mazoezi ya viungo
"Mtu ni Afya"

No comments