Breaking News

MAADHAMISHO YA MIAKA 42 YA CCM WILAYANI CHATO MKOANI GEITA

Picha na Matukio mbalimbali ya Maadhimisho ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) yaliyofanyika katika Viwanja vya CCM Chato mjini.
Katibu mwenezi wa CCM Wilaya Comrade Ramson Ndaki (Mwenye kipaza sauti) akisisitiza jambo
Kikundi cha waimbaji kutoka kata ya Ilemela ( Mapambano Group) wakifuatilia kwa karibu sherehe za kuazaliwa kwa CCM
Wazee wakiwa makini katika kusikiliza wakati wa Maadhimisho ya kuzaliwa kwa CCM wilayani Chato.
Mwenyekiti wa kijiji cha Msilale Ndugu Robert akijitambulisha.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Chato Ndugu Mangula (Katikati) akiwa na Mhe. Diwani wa kata ya Chato Ndugu Magabiro (Kulia) na Ndugu Robert (Kushoto)

























Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Chato Comrade Nuru Ngereja (Kushoto) akiwa na Mwenyekiti wa CCM Wilaya Ndugu Masambo Ndaki (katikati).







Aliyekuwa Mgombea udiwani kata ya Chato kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Ndugu MANGE SAI LUDOMYA ambaye kwa sasa amehamia chama cha Mapinduzi (CCM) akiwashukuru wanachama wa CCM kwa Mshikamano walionao Wanachama pamoja na Viongozi wao
akisalimiana na viongozi wa chama na Serikali waliohudhuria katika sherehe za Maadhimisho ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi

No comments