Breaking News

MWENYEKITI WA CCM TAWI LA CHINA NDG. SHAUKU KIHOMBO AWAPOKEA WANA UVCCM WANAOHUDHURIA KONGAMANO NCHINI HUMO

Mwenyekiti wa CCM Tawi la China Ndugu Shauku Kihombo, akutana na kuwapa salamu baadhi ya Wanachama na Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM ambao wapo Beijing kwa ajili ya kuhudhuria Kongamano la Tatu la Vijana wa ASIA na AFRIKA jijini Beijing.

Msafara huo wa wajumbe wanane unaongozwa na Mkuu wa Idara ya Usalama na Maadili UVCCM Taifa Ndugu Mohamed Abdalla.

No comments